Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hukuwezesha kufanya maamuzi sahihi
Ndani ya uvumilivu kuna subira, ikumbukwe kuwa wahenga walisema subira yavuta heri. Hii ina maana kuwa kufanya maamuzi mara ukutanapo na changamoto kunaweza kukusababishia kufanya maamuzi yasiyo sahihi.