Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapo napenda pepsi iwe bariiidiiiiUnakunywa nini kati ya hizo,
hii na ile ya chupa ipi tamu
Hii tamu hasa ikiwa ya baridi halafu upo safarini inashuka taratibu rahaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii na ile ya chupa ipi tamu
kuna anko wangu hii kwake ni sodaπππππ
Ha ha ha, unataman usifike mwisho wa safar yakoHii tamu hasa ikiwa ya baridi halafu upo safarini inashuka taratibu rahaaa
I have never tried it ππ
You take it?
Siku moja tujaribu hii hapa π€£π€£
Ha hahSiku moja tujaribu hii hapa π€£π€£View attachment 1798260
Ha ha ha ha utasikia nitumie samaki basi, nimecheka sana
Tunajifungia ndani π€£π€£ kujaribu kwenye public mara uanze kufanya vituko kesho yake ujikute youtube π€£π€£Ha hah
Sio unambie tujaribu kumbe mwenzangu ndo kilaji
Sitaki kuokotwa huko mitaani mimi π
Na hela hawatumi π€£π€£Ha ha ha ha utasikia nitumie samaki basi, nimecheka sana
Tunajifungia ndani π€£π€£ kujaribu kwenye public mara uanze kufanya vituko kesho yake ujikute youtube π€£π€£
Dah ,wangekuwa wanajua unaweza kuwepo Mwanza na bado kumpata huyo samaki ni kipengele [emoji28][emoji28]Na hela hawatumi [emoji1787][emoji1787]
Tena ambacho hakihusiani na kuwepo Mwanza ππDah ,wangekuwa wanajua unaweza kuwepo Mwanza na bado kumpata huyo samaki ni kipengele [emoji28][emoji28]