Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
kwa utamu wake ukinunua unatamani umpongeze muuzaji kwa kufanya biashara eneo hiloππππππHa ha ha, unataman usifike mwisho wa safar yako
[emoji28][emoji28]Tena ambacho hakihusiani na kuwepo Mwanza [emoji23][emoji23]
Nilikuona kwenye ule uzi wa pepsi ya chupa na hii take away..sishangai kukuona ukitoa sifa za kutosha hapa[emoji1][emoji2]kwa utamu wake ukinunua unatamani umpongeze muuzaji kwa kufanya biashara eneo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππila samaki ni shida unakuta ana bei sawa na ya kuku wa kienyeji halafu kadooogoooDah ,wangekuwa wanajua unaweza kuwepo Mwanza na bado kumpata huyo samaki ni kipengele [emoji28][emoji28]
Ningepewa tu ubalozi wa Pepsi ππππππNilikuona kwenye ule uzi wa pepsi ya chupa na hii take away..sishangai kukuona ukitoa sifa za kutosha hapa[emoji1][emoji2]
Esta hujawai niangusha yaani! Tofauti yangu na wewe ni 2 tuNingepewa tu ubalozi wa Pepsi ππππππ
Anna Kendrick [emoji91]
Huyu sidhani kama alizaliwa mwanamke huyu [emoji2211][emoji2211][emoji2211]Anna Kendrick [emoji91]
Ishu ni huyu sister,huwa ni funny sana, ukimtizama lazima ucheke
View attachment 1798306View attachment 1798307
Sana i wish watoe pitch perfect 4 ππAnna Kendrick [emoji91]
Ishu ni huyu sister,huwa ni funny sana, ukimtizama lazima ucheke
View attachment 1798306View attachment 1798307
Jizazi sis [emoji51][emoji51][emoji51]Tunajifungia ndani [emoji1787][emoji1787] kujaribu kwenye public mara uanze kufanya vituko kesho yake ujikute youtube [emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28] broEsta hujawai niangusha yaani! Tofauti yangu na wewe ni 2 tu
Kushabikia Yanga na CCM!! Hapo tu ndo unafeligi yaniii
Kwann bro? Ni mambo ya transgender?Huyu sidhani kama alizaliwa mwanamke huyu [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Tumeshakupatia Esta.. Kuanzia leo wewe ni barozi mpya wa Pepsi eneo uliopo..Ningepewa tu ubalozi wa Pepsi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani....[emoji818][emoji818][emoji818]Kwann bro? Ni mambo ya transgender?
Acha tu [emoji28][emoji28],tena ujichanganye kwenye wale sato, utatajiwa bei, unaondoka bila kuaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila samaki ni shida unakuta ana bei sawa na ya kuku wa kienyeji halafu kadooogooo
Jirani hajaonekana bado? Alitoweka wakati mabalozi wapya walipotangazwa. Kulikoni?Tumeshakupatia Esta.. Kuanzia leo wewe ni barozi mpya wa Pepsi eneo uliopo..