capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Dondosha handle niku - followπ
Nielekeze namna ya kudondosha handleDondosha handle niku - followπ
Nielekeze namna ya kudondosha handle
Sawa Coco ππView attachment 1800056
Mfano hii ni Acc yako
Copy hiyo @HecheJohn and paste kwenye reply ya wadondosha handles.
If they follow u, follow back!
Na huyu mwenye hii account uliyotolea mfano ni wewe? ππView attachment 1800056
Mfano hii ni Acc yako
Copy hiyo @HecheJohn and paste kwenye reply ya wadondosha handles.
If they follow u, follow back!
Kgy humfahamu John Heche?Na huyu mwenye hii account uliyotolea mfano ni wewe? ππ
Namfahamu ndio nikajisemea huenda ni wewe?Kgy humfahamu John Heche?
Huyo hawezi kua mimi buana π
Namfahamu ndio nikajisemea huenda ni wewe?
itakua ni yeyeπππ
Namfahamu ndio nikajisemea huenda ni wewe?
Yani uliwaza kuanza kunisaka?Kama ni homework nimefeli followers wote hao kumsaka cocoππππ