Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1622164958733.jpeg
 
Pole sana.
Mwenyezi Mungu akujaalie wewe na mzee mpate nafuu[emoji120][emoji120]
Pole sana ndugu yetu, hakika Mungu atawafanyia wepesi mpate kupona na muwe na afya njema, InshaAllah
Pole anne. Ugua pole maombi mengi kwako na kwa mzee
Oooh! Pole sana mtakatifu. Ni muda wa kuzama katika maombi na kufuata masharti ya madaktari. Mungu Atawaponyesha wewe na mzee wako [emoji1545][emoji1545]
Amen[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom