Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupika ugali ni kazi hasa uji ukiwa una chemka kwa hasira

View attachment 1799706
Huu ni ugali wa Kizaramo huu. Ugali wa Kisukuma huwa haupikwi hivi mpendwa. Huu wa kuchemsha uji kwanza huu labda wa mgonjwa. Ukiwapelekea wazee wa Kisukuma ugali wa namna hii watakupopoa mpendwa.

Itabidi uje nikufundishe kupika ule ugali wenyewe ule halisi ambao mtu anaweza kula na akaenda kulima kwa masaa hata kumi shambani bila kuchoka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Binti mpole sijapotea wewe si ndiyo umetuchomesha mahindi pale Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16]
Sitakaa nimsahau huyu. Gold Crest bro ni mzinga wa hoteli. Wiki nzima niko pale binti mpole hata JF haonekani. Kisa? Anonymous forevaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Huu ni ugali wa Kizaramo huu. Ugali wa Kisukuma huwa haupikwi hivi mpendwa. Huu wa kuchemsha uji kwanza huu labda wa mgonjwa. Ukiwapelekea wazee wa Kisukuma ugali wa namna hii watakupopoa mpendwa.

Itabidi uje nikufundishe kupika ule ugali wenyewe ule halisi ambao mtu anaweza kula na akaenda kulima kwa masaa hata kumi shambani bila kuchoka [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee hii ni mpya kwangu mpendwa ninachofahamu kabla ujasonga ugali kuna hatua zake kuweka maji kwenye sufuria,kuweka unga kiasi,kuacha mchanganyiko uchemke hatimaye kusonga.Usukumani mwapikaje ?
 
nilishaona wakurya wanavyopika maji yakichemka wanaweka unga wa kutosha na kuanza kusonga bila kukoroga uji

Back
Top Bottom