Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kufa kwa sehemu hai ya jino hasa kutokana na kuumia kwa jino au ajali (pulp necrosis), hali hii huweza huchukua miaka mingi mpaka kutokea kubalika rangi ya jino..
Sawa na mchele mmoja mapishi mbalimbali,kupika kwa kuchemsha maji then unaweka unga najua ila tatizo nikitumia njia hiyo ugali hausongeki vizuri lazima uwe na unga upande wahenga wanasema (Mabuje)nilishaona wakurya wanavyopika maji yakichemka wanaweka unga wa kutosha na kuanza kusonga bila kukoroga uji
Pole sana ndugu yetu, hakika Mungu atawafanyia wepesi mpate kupona na muwe na afya njema, InshaAllah
Aisee hii ni mpya kwangu mpendwa ninachofahamu kabla ujasonga ugali kuna hatua zake kuweka maji kwenye sufuria,kuweka unga kiasi,kuacha mchanganyiko uchemke hatimaye kusonga.Usukumani mwapikaje ?
Naam! Ugali wa Wakurya na wa Wasukuma unafanana. Ugali wa kazi!nilishaona wakurya wanavyopika maji yakichemka wanaweka unga wa kutosha na kuanza kusonga bila kukoroga uji