Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aah dakitari huyo yuaja ajakitia dawa kidonda
Hajakitia dawaa .kidondaa x 5

Kachirii kachirii... sagaa
Kachiri leo kachiri saga
Kachiri mama kachiri saga
Mume wangu kasafiri saga
Kaniachia kigoma saga
Na mtindo wa hariri saga
Kaniachia korola saga
Na madola teletele saga
Na kidani cha dhahabu saga
Na kiatu cha kokoto saga
Kisimu cha mkononi saga

Kachirii kachiri x 2
Nitarudi daktari
 
Kachirii kachiri x 2

Buz langu limo ndani
Na kamba yake shingoni
Melifunga kiguzoni
Mchunaji una nini
Katafute vingunguti
Buz langu hulipati

Kachiri.saga
Kachiri.saga
Kachiri saga

Mama kanambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira

Wene makandawira(inawene makandawira ina wene) x 8
Nitarudi X 8
 
167d148b4de27fe2dcb77b802340299c.jpg

Wahenga karibuni
 
Back
Top Bottom