Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2021-05-31 Home Twitter(3).png


Dah! Sad
 
“Kifungu hicho ndiyo kimerekebishwa, kwa hiyo kanuni kuhusu kuruhusu bado hatujazitengeneza kwa sababu Umoja wa Mataifa (UN) wanaendelea kulifanyia kazi suala hilo waje watoe tamko ili nchi zote zitengenezewe miongozo,” alisema.
Ni vema sasa Dunia iruhusu kilimo cha bange na ipige marufuku kilimo cha tumbaku.
Tumbaku ina madhara makubwa kuliko bange
FB_IMG_1603900848504.jpg
 
“Mapambano tumeyapa sura mpya, wote wanaojihusisha au kuwa na wazo la kutaka kujihusisha na dawa za kulevya ni vyema watafute biashara nyingine kwa sababu tunafanya kazi usiku na mchana kama ni kupumzika ni baada ya kufa, tunataka kizazi kisichotumia dawa za kulevya,” alisema.
Maneno hayo yakiambatana na ukweli tutapiga hatua kubwa
 
Back
Top Bottom