Zidani
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 970
- 3,945
Ronaldo always
Sidhani, wenyeji wa huko wanajua hiloHii itakua hatari sana! Imewahi kutokea kabla?
Kolomije hawana milima na miinuko ya kuzalisha baridi, kukiwa na mabadiliko lazima yatashangaza wengi.utalii mzuri huu kuangalia live
hali hii ingekua huku koromoje zingeazishwa nyuzi kibao za watu kushangaa
Kuna papa wa mtoni bro, mara nyingi ni yale maeneo ya maji yanayongia baharini.Papa kwa mtoni? Edited picture
Bange inasisimua misuli,Really?
Wengi wanahofia zaidi bange though