myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πBro, at 76 yrs old, I am gracefully done! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hajantendea haki kwa kweli, mbona nilivaa kiheshima tu?π€¨
Hajantendea haki kwa kweli, mbona nilivaa kiheshima tu?π€¨
Naona hakuipenda blauzi yangu tu! Maana kama suruali si hata leo Mhemishiwa kaivaa kariakoo na mwananyamalaWana lao jambo hao.
Naona hakuipenda blauzi yangu tu! Maana kama suruali si hata leo Mhemishiwa kaivaa kariakoo na mwananyamala
Sasa je ? Hajaipenda huyo baba. Hiyo blauzi yangu ya njano. Itakuwa mikanda hiyo inavyonesanesaHahahahahahaha blauzi yako? ππ
Sasa je ? Hajaipenda huyo baba. Hiyo blauzi yangu ya njano. Itakuwa mikanda hiyo inavyonesanesa
Unatabasamu sana leo! tatizo lako nini?