capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nikifaulu mtihani,Nitakutungia mtihani Gemini man 😂😂
Am Aquarius BTW,
Nikifaulu mtihani,Nitakutungia mtihani Gemini man 😂😂
Aisee..Bange inasisimua misuli,
kwa baadhi ya watu ina madhara.
Lakini bange haina sumu ya nicotine inayopatikana kwenye Tumbaku (sigara na bidhaa zake)
Hehehe kwahiyo umeenda kugugo 😆😆
Unamaanisha TAKUKURU wamekosea wapi?Nashangaa jamaa kashikiliwa na takukuru badala ya polisi.
Shwari[emoji120]Salam kwenu wote
[emoji120][emoji120]Hongereni wakulima wote...