Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Duuh!
Aleikum salaam🖐️Asalaam Alyeikum
Amen..Muwe na siku njema [emoji120]
Nashindwa nianzie wapi kuongea[emoji24][emoji24][emoji119]..
Bado naendelea na ratiba za maombolezo.
Niwieni radhi nimecheelewa kuwajibu.
Ratiba bado imenibana, nikitulia vizuri nitarudi hapa.
Mungu awabariki wana jamiiforum,
Upendo mliouonyesha kwangu nashangaa kabisa,sijawahi kuupata katika mitandao mingine.
Safiii sana mkulima[emoji120][emoji120]View attachment 1805529
Dont let your ex go cold