Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
teh'..Mdogo wako unamjua kwani? humu si hatujuani 😀 😀 😀 😀 😀
Sisi twajuana katika ulimwengu wa roho mtumishi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh'..Mdogo wako unamjua kwani? humu si hatujuani 😀 😀 😀 😀 😀
Pole sana Saint Anne ...Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Baba marehemu alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.
NB: kama kutakuwa na taarifa yoyote zaidi tutajulishana hapa
Updates kwa yeyote atakayejisikia kwa namna yoyote ile kumshika mwenzetu mkono number ni 0756 865 385 Abel Kahava hapa![]()
Nashindwa nianzie wapi kuongea[emoji24][emoji24][emoji119]..Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Baba marehemu alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.
NB: kama kutakuwa na taarifa yoyote zaidi tutajulishana hapa
Updates kwa yeyote atakayejisikia kwa namna yoyote ile kumshika mwenzetu mkono number ni 0756 865 385 Abel Kahava hapa![]()
Poleeeh sana cc, kazi ya mola haina kosa, Jah awape nguvu na uvumilivu mkuu ktk kipindi hiki kigumu kwenu,Nashindwa nianzie wapi kuongea[emoji24][emoji24][emoji119]..
Bado naendelea na ratiba za maombolezo.
Niwieni radhi nimecheelewa kuwajibu.
Ratiba bado imenibana, nikitulia vizuri nitarudi hapa.
Mungu awabariki wana jamiiforum,
Upendo mliouonyesha kwangu nashangaa kabisa,sijawahi kuupata katika mitandao mingine.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nashindwa nianzie wapi kuongea[emoji24][emoji24][emoji119]..
Bado naendelea na ratiba za maombolezo.
Niwieni radhi nimecheelewa kuwajibu.
Ratiba bado imenibana, nikitulia vizuri nitarudi hapa.
Mungu awabariki wana jamiiforum,
Upendo mliouonyesha kwangu nashangaa kabisa,sijawahi kuupata katika mitandao mingine.
Nashindwa nianzie wapi kuongea[emoji24][emoji24][emoji119]..
Bado naendelea na ratiba za maombolezo.
Niwieni radhi nimecheelewa kuwajibu.
Ratiba bado imenibana, nikitulia vizuri nitarudi hapa.
Mungu awabariki wana jamiiforum,
Upendo mliouonyesha kwangu nashangaa kabisa,sijawahi kuupata katika mitandao mingine.
Kwa mujibu wa maelezo yake mafupi ni kwamba baba yake aliugua ghafla! Akalazwa hospitali tangu jumanne na ndiyo amefariki leo!
Pole nyingi sana kwake na familia yao! Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya baba mahali pema peponi amina!
Pole Sana Mkuu
Tunapambanaga humu kisa ubikira.
Lakini Kwa hili naungana na wewe kumuombolezea Mzee wetu.
Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki
Pole kwake! Mungu awe mfariji wake mkuu.
Mungu amtie nguvu
Pumziko La Amani apate Mwendazake.....Pole kwa Wafiwa.
Pole Madam.
Mungu akutie nguvu Saint Anne
Pole sana Anne
Pole kwako madam mama wa likes
Apumzike kwa amani baba
Anne poleni sanaa na msiba wa Baba.
Mshana ingekuwa vyema ukaeleza msiba upo wapi ili watakaopata wasaa waweze kufika kuifariji familia. Poleni tena
Mungu awape faraja kuu wafiwa, na roho ya marehemu ipumzishwe pema peponi!
Pole sana kwake mwenyezi Mungu amfanyie wepes katka kipindi hiki kigumu inshaallah
AmenPole sana kwake.
Amen
Akhsante.
Maumivu ni Makali mno ila namshukuru Mungu. [emoji24]
Mungu awabariki.
Duhhhh...🤣🤣Poleniana sana mtakatifu Saint Anne na bazazi mla nyama za wachuchu Mshana Jr
Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu kwenu
Namwomba Mungu amrehemu mzazi wetu. Amen
Pole mama DPole sana Saint Anne
Mungu ashukuriwe kwaajili ya zawadi ya uhai wa baba hapa duniani na kwenye maisha yako; amemaliza kazi yake sasa amepumzika Paradiso
"usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu." - [Isaya 41:10]
"Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, Bwana, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha." - [Isaya 41:17]
"Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu Hata milele. Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake. Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha. "[Maombolezo 3:31-33]