GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,193
Nimempenda bure Saint Anne amekuwa muungwana mno wa kujibu hizi pole zetu
Hii kitu unaweza kuona ni jambo dogo sana ila kwa kujibu tu hizi pole ni wazi itamsaidia sana kupunguza huzuni haraka bila yeye kujua.
Kwa uzoefu wangu maranyingi unapokuwa na shida au tatizo na ukaweza walau kupata mtu wa kuongea nae inasaidia kutua mzigo wa lile tatizo au kupunguza mzigo wa huzuni au line tatizo.
Pole sana na Credit zikufikie pia Mshana kwa kutambua hili tukio, maana sisi wengine wala hatujuani humu na kuna wakati kuna member wanafariki na wala hatujui kwa kuwa humu wengi hatutumii majina halisi.