TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Wana chit-chit, kwa masikitiko nimejulishwa na mwana jukwaa mwenzetu Saint Anne kuwa amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia tar 29/5 na mazishi yamefanyika siku ya leo yar 30/5.

Najua anapitia wakati mgumu mno hivyo anahitaji faraja ya ndugu, jamaa na marafiki.
Hivyo sisi tukiwa kama memba wenzake wa jf na jukwaa pendwa la chit-chat ni vyema tukampa faraja za hali na mali, zaidi tuiombee familia yake kuwa Mungu wa Mbinguni awafariji kwa faraja yake ya kweli.

Pole sana Saint Anne
Jipe moyo mkuu, simama na usonge mbele, haya ni mapito tu dada yetu.

Usiache kumtegemea Mungu kama ulivyo mcha Mungu kila wakati.

Amina.

Heaven Sent
BAK
Mshana Jr
@shedeya
 
I am worried about this lady. I hope she will be okay after going through the most difficult time in her life of losing a parent. Alianza kunyong’onyea mara baada ya kujua Baba yake ni mgonjwa.
 
Back
Top Bottom