Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
pole sana Saint Anne mungu akupe hekima na utulivu kipindi hiki kigumu na nguvu zaidi kubeba hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mtu wa MunguWapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Baba marehemu alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.
NB: kama kutakuwa na taarifa yoyote zaidi tutajulishana hapa hapa![]()
Pole mtu wa Mungu
RIP Baba wekeni ka namba walau ka kutuma rambirambi jamani mnakwama wapi?
Pole mkristo mwenzangu Anne, Mwenyenzi Mungu awape faraja wewe na familia yako.
Familia yako ya JF tunaweza kutamani kuchangia walau kidogo gharama za msiba, Dada HS na Mkuu mshana tunaomba utaratibu.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA (huyu nimwanafamilia) Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.Pole mtu wa Mungu
RIP Baba wekeni ka namba walau ka kutuma rambirambi jamani mnakwama wapi?
AsanteNimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.
Mshana Jr naomba uweke update pale juu