TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.

Baba marehemu alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.

NB: kama kutakuwa na taarifa yoyote zaidi tutajulishana hapa hapa
giphy.gif
R.I.P baba yake saint anne.
 
Back
Top Bottom