TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.

Baba marehemu alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.

NB: kama kutakuwa na taarifa yoyote zaidi tutajulishana hapa hapa
giphy.gif
Mkuu vipi kuhusu rambirambi tunatoa kwa njia gani sisi wananzengo??
 
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.

Mshana Jr naomba uweke update pale juu
Tayari nilikuwa offline kidogo nimesha update [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom