Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haupo seriyass mkuu.Ohhh...
Kunbe ni mrembo hivi...😂
Amen mama[emoji120]Mwenyezi Mungu ampe imani katika wakati huu mgumu.
Hey dear!!Pole sana kipenzi Mungu ana sababu ya kila jambo,nafahamu utasimama imara ingawa pengo halizibiki lakini utakua imara na utaishi piaAmen[emoji24][emoji120]
Mungu huwa hakosei.
Ila ameniumiza mno,,hakutaka japo kunisikiliza maombi yangu[emoji24]
Amen
Akhsante.
Maumivu ni Makali mno ila namshukuru Mungu. [emoji24]
Mungu awabariki.
Pole sana Mkuu,
Namshukuru Mungu, wazazi wangu wote bado wapo hai.
Pamoja na wazazi wangu kuwa hai, kuna muda nikitafakari mpango wa Mungu juu ya maisha yangu, I normally ask God why me? Na Sijapata majibu.
Elewa tu you are not alone, watu wengi tunapitia maumivu sema tumegawana vitengo tu.
Muhimu haya maumivu yasitufanye tunung'unike na tukufuru bali iwe chachu kwetu kuendelea kumcha, kumtukuza, kumuinua na kumshukuru Mungu.
Pole sana mdogo wetu Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi cha kumpoteza mzazi
Hey dear!!Pole sana kipenzi Mungu ana sababu ya kila jambo,nafahamu utasimama imara ingawa pengo halizibiki lakini utakua imara na utaishi pia
Amen[emoji24][emoji120]Barikiwa pia Anne