TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Pole sanaa madame,Poleni Sanaa wafiwa wote Mungu awatie nguvu na mpate faraja ya kusonga mbele.Jehova akupe ujasiri ndani ya kifua chako katika kipindi hiki kigumu Cha kuondokewa na mpendwa wako.

Simama inuka jifute machozi beba silaha ya ushindi,faraja,tumaini na ujasiri kaza buti endelea na safari.Usife moyo Wala usikate tamaa Yeye hufanya njia mahali pasipo na njia.Usilie nyamaza,Inuka usonge mbele Safari Bado inaendelea usikate tamaa Saint Anne.
 
Pole sana Saint Anne Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu
Pole sana saint Anne
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa Amani
Pole sana Saint Anne
Poleni sanaa, MUNGU awafariji katika kipindi hiki kigumu
Amen akhsante.
 
Pole sanaa madame,Poleni Sanaa wafiwa wote Mungu awatie nguvu na mpate faraja ya kusonga mbele.Jehova akupe ujasiri ndani ya kifua chako katika kipindi hiki kigumu Cha kuondokewa na mpendwa wako.

Simama inuka jifute machozi beba silaha ya ushindi,faraja,tumaini na ujasiri kaza buti endelea na safari.Usife moyo Wala usikate tamaa Yeye hufanya njia mahali pasipo na njia.Usilie nyamaza,Inuka usonge mbele Safari Bado inaendelea usikate tamaa Saint Anne.
Amen.
Natiwa moyo sana na haya maneno.
 
Back
Top Bottom