TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe...
Aisee.. pole nyingi kwako na kwa familia nzima..... Mungu awavushe ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi
 
Back
Top Bottom