Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Pole mpendwa! dah[emoji24]
Poleni sana wafiwa, marehemu apumzike kwa Amani!
Apumzike kwa Amani
Pole sana Saint Anne Mungu akutie nguvu wewe na familia yako katika kipindi hiki kigumu.
Pole sana mdogo wangu Saint Anne Mungu wa mbinguni akawe faraja kwako, kwa familia, ndugu na jamaa..!!
Pole SANA, MUNGU AKUPE NGUVU KIPINDI HIKI KIGUMU KWAKO
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu kwa kufiwa.. Mungu awe mfariji wako ailinde familia ya wafiwa. Usiogope!
Maana tulitoka kwakwe nasi tutarejea kwake kumlaki Bwana wa Sabato
Warumi 14:8-9
[8]Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.
[9]Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
View attachment 1801353
Aisee pole sana Anna Saint Anne Mungu akutie nguvu kipindi kigumu hiki
Pole sana kwa msiba dada
Pole sana Saint Anne.
Pole sana Saint Anne Mungu akutie nguvu tupo pamoja
Poleni wafiwa.
Pole sana Saint Anne
Pole kwake na familia yake nzima. RIP baba Anne.
Pole sana madam Saint Anne
Pole saint
Nahisi naota ila siyo ndoto.Pole sana mkuu kwa kuondokewa na mzazi
Kweli baba hayupo[emoji24]
Akhsanteni,
Mungu awabariki.