Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Sijui maisha yatakuwaje.
Mungu mwenyewe anatengeneza njia.
Namshukuru Mungu kwa maisha ya baba japo naona amemchukua mapema mno.
At my early 20's kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa mno.
Sina lugha laini zaidi ya kukufariji, isipokuwa mshukuru tu Mungu kwa walau kuwa na umri ambao si tegemezi sana na hata shule naamini utakuwa umemaliza au upo kiwango cha elimu ya juu (almost there)...
Binafsi i lost my father in my early teen/ early adolescence hapo hata sijui elimu ya sekondari ina rangi gani...
But look at me now, hivyo ni Mungu tu anajua