Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...

Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
Sad news. Pole nyingi sana kwa Anne kwa kipindi hiki kigumu. May His Soul Rest In Peace. Amen
Aisee,

Mungu amlaze mahali pema peponi.

Natumai u mzima bro.
Poleni sana Anne.
Dah.! Pole nyingi sana Anne na familia kiujumla...Mungu awe mfariji kwenu katika kipindi hiki kigumu

R.I.P Baba
Msiba jamani unauma sana tu. Maombi mengi kwa Anne apone apate kumuomboleza Baba akiwa na afya njema. Unaumwa huku umefiwa dunia inakua chungu mara maelfu elfu
Amen[emoji24]
Akhsante kwa maombi yenu .


Mungu ni mwema wakati wote Ila kwa wakati huu ameniacha niumie.
 
1622648804428.jpeg
 
Back
Top Bottom