moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Siku nyingine
🤣🤣Esta sio wa kispotispoti. Ana mkoko wa nguvu![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#wakishuawewe
#wewewavanguard
jamaniiiii naddy zile coaster zilizochooka basi huku zipo zinaenda sehemu inaitwa igombe ndo usafiri wangu huo. dereva anaweka gia huku nyuma mnasimama gari isielemewe😂😂😂😂😂akikaa sawa mnakaa🤣🤣Esta sio wa kispotispoti. Ana mkoko wa nguvu!
watekaji hawakuanza awamu ya JPM walianza kitambo sana sema watu hawakua na kuwashwa washwa sana kumbuka mgomo wa madaktari kinara wao alitekwa alipiga vibaya mno. kuna wafanyabiashara wa madini walisingiziwa majambazi wakauliwa huko msituniInashangaza sana mkuu. Nilidhani utekaji ulishakoma, kumbe sivyo
Jamani wa mama wa hivi.. mi basi tu.kila nikiwaona moyo wangu puuuuu
🤣🤣🤣 jamani..jamaniiiii naddy zile coaster zilizochooka basi huku zipo zinaenda sehemu inaitwa igombe ndo usafiri wangu huo. dereva anaweka gia huku nyuma mnasimama gari isielemewe😂😂😂😂😂akikaa sawa mnakaa
😂😂😂😂wajukuuu watakuwa wanakufaidijamaniiiii naddy zile coaster zilizochooka basi huku zipo zinaenda sehemu inaitwa igombe ndo usafiri wangu huo. dereva anaweka gia huku nyuma mnasimama gari isielemewe😂😂😂😂😂akikaa sawa mnakaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wajukuuu watakuwa wanakufaidi
Numbisa yupo vizuri sana, hapa anatuenjoy tuUpo sahihi bro. Mtoto wa kishua halafu anonimazi foreva kwenye vangadi yake full tinted anakula kiyoyozi tu. Maisha haya yaani kuna watu wameyawezea sana....
View attachment 1800841
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] igombe hadi kule kayenzejamaniiiii naddy zile coaster zilizochooka basi huku zipo zinaenda sehemu inaitwa igombe ndo usafiri wangu huo. dereva anaweka gia huku nyuma mnasimama gari isielemewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akikaa sawa mnakaa
Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...