Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mchezaji wa Real Madrid Raphael Varane,28, anayehusishwa na uhamisho wa kwenda Manchester United, anasisitiza kwamba kipaumbele chake ni Ufarasa na mashindano ya Ulaya na wala sio mazungumzo ya uhamisho. (Mail)