Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1622299816140.jpg
 
 
 
watekaji hawakuanza awamu ya JPM walianza kitambo sana sema watu hawakua na kuwashwa washwa sana kumbuka mgomo wa madaktari kinara wao alitekwa alipiga vibaya mno. kuna wafanyabiashara wa madini walisingiziwa majambazi wakauliwa huko msituni
Lakini marehemu ambaye anasifika kwa uchapa kazi wake si alipaswa akishughulikie hiko kigenge cha utekaji?
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.

Pole sana Saint Anne.
Mwenyezi Mungu akupe moyo wa subira wewe wanafamilia wote[emoji120][emoji120]
 
Kinachonishangaza ni kwamba Serikali imepiga kimya kwa siku mbili sasa.
Nadhani ni ule utekelezaji wa kaulimbiu ile-- "Mimi na marehemu letu moja"

Mama tutamchoka punde.
Afanye yote lakini uhuru wa habari na matukio ya kutekana haitavimilika kwakweli
 
Nilikuwa na imani kubwa sana kwake hasa baada ya hotuba yake siku ya kuapishwa, lakini kumbe ni bomu jingine.
Nadhani ni ule utekelezaji wa kaulimbiu ile-- "Mimi na marehemu letu moja"

Mama tutamchoka punde.
Afanye yote lakini uhuru wa habari na matukio ya kutekana haitavimilika kwakweli
 
Back
Top Bottom