moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mmh, [emoji849][emoji849]je kama alikua anakishughulikia kigenge kikapata sapoti yenu mkamgeuzia kibao?
Rais ashindwe kushughulikia wavunja sheria kuogopa maneno ya walevi wa mitandaoni kweli jamani!!!?
Niwe mkweli, Kiongozi anayefurahia matukio kuteka, kutesa, kubambikia kesi, kufinya uhuru wa habari nitashiriki KUMNANGA.