Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Anatuenjoy tu hapa[emoji2][emoji1787][emoji1787]Esta sio wa kispotispoti. Ana mkoko wa nguvu!
Anatuenjoy tu hapa[emoji2][emoji1787][emoji1787]Esta sio wa kispotispoti. Ana mkoko wa nguvu!
huko huko kabla ya hapo unapumzika kwanza iloganzala😂😂😂😂😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] igombe hadi kule kayenze
Sad news. Pole nyingi sana kwa Anne kwa kipindi hiki kigumu. May His Soul Rest In Peace. AmenKuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...
Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
jamaniii😂😂😂😂Upo sahihi bro. Mtoto wa kishua halafu anonimazi foreva kwenye vangadi yake full tinted anakula kiyoyozi tu. Maisha haya yaani kuna watu wameyawezea sana....
View attachment 1800841
Aisee,Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...
Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
Poleni sana Anne.
Dah.! Pole nyingi sana Anne na familia kiujumla...Mungu awe mfariji kwenu katika kipindi hiki kigumuKuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...
Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
Niko poa Bro, habari za siku? Familia iko poa?Aisee,
Mungu amlaze mahali pema peponi.
Natumai u mzima bro.
Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...
Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
![]()
TANZIA - MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo
Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa...www.jamiiforums.com