capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huyu bwa mdogo amesemwa sana, ni vizuri mama amesikia kilio cha wengi.
Safii mkulima..[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1783489
Ana kashfa gani huyu dogo maana naona makamanda wamefurahi kweli kweli...Huyu bwa mdogo amesemwa sana, ni vizuri mama amesikia kilio cha wengi.
Acha wamchunguze ili mbivu na mbichi zijilikane
Lokesheni pulizi [emoji16]Wana uzi wa likes wote mnaalikwa tusherehekee pamoja siku ya kuadhimisha mwezi mmoja wa mfungo wa Ramadhani Iddi el Fitri.