Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Daaa, ujue hatujamaliza ibada kamanda[emoji849][emoji849]
Dogo huyu, kuna nyuzi nyingi kwenye jukwaa la siasa zilifunguliwa tangu zama za marehemu, zikimuhusisha na uporaji kwenye maduka huko Hai na na jijini Arusha.Ana kashfa gani huyu dogo maana naona makamanda wamefurahi kweli kweli...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Pole imfikie hakujua kwamba Cheo ni dhamana.Dogo huyu, kuna nyuzi nyingi kwenye jukwaa la siasa zilifunguliwa tangu zama za marehemu, zikimuhusisha na uporaji kwenye maduka huko Hai na na jijini Arusha.
Pia alihusika kuteka watu, kupiga na kujeruhi.
Kuna picha ya jamaa mmoja iliwekwa amekatwa masikio na huyo DC.
Kuna madai pia alikuwa muonevu lakini hakuwa akimtii mkuu wake wa mkoa mama Anna Mgwira.
Inadaiwa alikuwa untouchables, kwakuwa alipewa kila aina ya ulinzi na aliyemteua, ambaye kwa bahati mbaya sana hivi sasa
Wengi wakifika juu hawakumbuki hayo wanakua jeuri sana,ona leo makonda toka kuitwa baba na bongo movies mpaka kuwa wee jamaaa😂😂😂😂😂Pole imfikie hakujua kwamba Cheo ni dhamana.
Makonda kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa Steve Nyerere ndiye aliyemkumbuka bongo movie wengine wamempotezea kweli wakati si leleWengi wakifika juu hawakumbuki hayo wanakua jeuri sana,ona leo makonda toka kuitwa baba na bongo movies mpaka kuwa wee jamaaa😂😂😂😂😂
[emoji120][emoji120][emoji120]Eid Mubarak
Yaan alivyoshuka hata wale waliokua wakimuita mlezi wamemsahauMakonda kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa Steve Nyerere ndiye aliyemkumbuka bongo movie wengine wamempotezea kweli wakati si lele
Wengine wanapewa mavyeo haya wakiwa bado wadogo mno tena bila mafunzo na exposure yo yote. Nimesoma mahali watu waliosoma naye huko Ikizu sekondari Musoma wanasema alikuwa mbabe hivi hivi na hakujificha kuwa ni mtu wa usalama wa taifa tangu zamani.Pole imfikie hakujua kwamba Cheo ni dhamana.
Naamini huyu naye akipewa madaraka tena atakuwa tofauti na ujinga na majigambo yale ya kitoto yatakuwa yamemwisha. Ametoka mbali sana na mama na anaweza kupewa ukuu wa mkoa tena. Sema tatizo mama inavyoonekana anaogopa sana kusemwa mitandaoni na anajaribu kupendwa na kila mtu. Akimpa madaraka tena huyu najua mitandaoni humu kutawaka moto na mama sidhani kama anataka hilo. Ngoja tuone!Makonda kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa Steve Nyerere ndiye aliyemkumbuka bongo movie wengine wamempotezea kweli wakati si lele
Lokesheni ni nyumbani kwangu, mje kwa wingiLokesheni pulizi [emoji16]
Asante kamanda. Allah Akuzidishie [emoji1545]
Kwakuwa vyeo hivi ni utumishi wa uma, na uma umeonyesha kuwakataa kutokana na vitendo vyao, kwakweli hakuna namna, mama aachane nao tu.Naamini huyu naye akipewa madaraka tena atakuwa tofauti na ujinga na majigambo yale ya kitoto yatakuwa yamemwisha. Ametoka mbali sana na mama na anaweza kupewa ukuu wa mkoa tena. Sema tatizo mama inavyoonekana anaogopa sana kusemwa mitandaoni na anajaribu kupendwa na kila mtu. Akimpa madaraka tena huyu najua mitandaoni humu kutawaka moto na mama sidhani kama anataka hilo. Ngoja tuone!
Tafsiri plsLokesheni ni nyumbani kwangu, mje kwa wingiView attachment 1783856