Habari za wakati huu wapendwa.... Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau. Nimeamka...
www.jamiiforums.com