Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
![]()
Piko na Hinna; Mambo ya ukanda wa pwani hayo
Zanzibar Tangaaaaaa Mombasa Aminiaaa.. Sio mchezo mademu wa kanda ya pwaniwww.jamiiforums.com
Vipi bro? Ndo ugonjwa wako huu nini?![]()
Urembo wa Picco na Henna
Urembo huu ni moja kati ya mitindo yenye kupendeza na kuvutia. Ni mtindo maarufu sana kwenye maeneo ya pwani hususani ni Tanga, Unguja, Pemba Dar es salaam na Mombasa, na hata kwenye maeneo mengine pia fashion hii ila nadhani wote tutakubaliana ya kuwa kwa hakika ukanda wa pwani ndio kiboko...www.jamiiforums.com
Eid hii kuna mtu namsikilizia. Kaniahidi kujichora mwili mzima halafu anionyeshe atakavyopendeza [emoji39][emoji39][emoji39]