Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Duh..Nchini Uhispania, takwimu ya upasuaji wa urembo kwa wanaume ni karibu asilimia 12.2% kwa ujumla.
Huko Uingereza mwaka 2016 asilimia nane ya wanaume walifanyiwa upasuaji wa urembo, ijapokuwa kiwango cha upasuaji wa aina hiyo kilishuka kwa wanaume na mwaka 2016 baada ya kupanda mwaka 2015, kulingana na data kutoka Chama cha Wafanya Upasuaji wa Urembo nchini Uingereza.(BAAPS).
Angalau mzee Butiku kajitenga na unafiki
Angalau mzee Butiku kajitenga na unafiki