antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
"Mtuhumiwa tulimkamata njia ya kuelekea Dodoma alipokuwa akijaribu kutoroka na upelelezi wa tukio hilo unaendelea," amesema Kamanda Bwire.
Dah..Mapenzi tenaaa,dah...
Mungu amlaze mahali pema huyu binti,pia awasaidie vijana kujua mapenzi ni maisha ya kawaida ya binadamu sio vita au umiliki wa binadamu.