4. Kwa kawaida watu huwa waaminifu na wakweli mwili ukiwa umechoka, na ndio sababu hutubu na kutoa siri zao kwenye mazungumzo yatekeayo usiku wa manane,
5. Ukihisi mtu au watu wanakuangalia, angalia saa au muda kama unataka kujua wakati, watu wanaokutazama nao watatizama saa, hii ni kwa sababu kuangalia wakati/mda huambukiza
5. Ukihisi mtu au watu wanakuangalia, angalia saa au muda kama unataka kujua wakati, watu wanaokutazama nao watatizama saa, hii ni kwa sababu kuangalia wakati/mda huambukiza
10. Kama utakataliwa na mtu ambaye kujali kwake ni muhimu sana kwako, basi maumivu utakayopata katika ubongo wako ni kama maumivu ya mwili yanavyokuwa.
12. Ukitaka kujua kama mtu unaezumguza nae anapenda kusikia unayoyazungumza kunja mikono yako, kama anapenda na anafurahia mazungumzo nae atakunja mikono pia
13. Kama mtu anachekacheka tu bila sababu maalumu au anacheka sana, basi mtu huyo ana huzuni kuu moyoni mwake, na kama mtu analala kwa mda mrefu sana, mtu huyo ni mpweke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.