Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,481 14. Namna tunavyozungumza na watoto wetu ndivyo inavyokuwa sauti katika mioyo yao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,482 15. Mtu akitokea katika ndoto unayoota, basi ni kwa sababu mtu huyo kakuhamu (kakumiss).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,483 16. Wa kwanza kuomba msamaha sikuzote ni mwerevu, wa kwanza kusamehe ni mwenye nguvu na wa kwanza kusahau ni mwenye furaha.
16. Wa kwanza kuomba msamaha sikuzote ni mwerevu, wa kwanza kusamehe ni mwenye nguvu na wa kwanza kusahau ni mwenye furaha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,484 17. Mashairi katika wimbo uupendao ni ujumbe ambao unapambana kuufikisha mahala flani au kuwaambia watu flani.
17. Mashairi katika wimbo uupendao ni ujumbe ambao unapambana kuufikisha mahala flani au kuwaambia watu flani.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,485 18. Ukitumia mkono wako usiotumika mara kwa mara (wa kushoto kwa wengi) itakusaidia kuwa na ‘self control’.
18. Ukitumia mkono wako usiotumika mara kwa mara (wa kushoto kwa wengi) itakusaidia kuwa na ‘self control’.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,486 19. Kama mwanaume atasimama akiwa ametanua miguu yake wakati akizungumza na mwanamke, ni ishara kwamba mwanaume huyo anampenda mwanamke kwa dhati.
19. Kama mwanaume atasimama akiwa ametanua miguu yake wakati akizungumza na mwanamke, ni ishara kwamba mwanaume huyo anampenda mwanamke kwa dhati.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,487 20. Mwanaume akiwa hajisikii huru au akiwa hana amani, basi hushika kichwa au uso wakati mwanamke hushika aidha nywele, hereni, mavazi, mikono au shingo.
20. Mwanaume akiwa hajisikii huru au akiwa hana amani, basi hushika kichwa au uso wakati mwanamke hushika aidha nywele, hereni, mavazi, mikono au shingo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,488 21. Siku zote fuata wazo linalokuogopesha zaidi, sababu hili ndili litakalo kujenga na kukuimarisha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,489 22. Aina mbili ya watu ambao hawatakuangalia machoni: mtu anaejaribu kuficha uongo na mtu anaejaribu kuficha mapenzi/ upendo
22. Aina mbili ya watu ambao hawatakuangalia machoni: mtu anaejaribu kuficha uongo na mtu anaejaribu kuficha mapenzi/ upendo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,490 23. Wanasaikolojia wanasema mtu anataka kumfurahisha kila mtu huishia kuwa mpweke zaidi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,491 24. Mtu anaekasirika kirahisi, kwa vitu vya kijinga, inaonesha kwamba anahitaji upendo/kupendwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,492 25. Sikuzote wanaoponda au kulalamikia wengine kwa wanayofanya, ndicho kile wanachofanya wao au wanatamani kufanya wao- elewa hili.
25. Sikuzote wanaoponda au kulalamikia wengine kwa wanayofanya, ndicho kile wanachofanya wao au wanatamani kufanya wao- elewa hili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,493 26. Kulia ni afya kwako. Huondoa bacteria wabaya mwilini mwako, hukupunguzia msongo wa mawazo na kukuongezea kinga ya mwili.
26. Kulia ni afya kwako. Huondoa bacteria wabaya mwilini mwako, hukupunguzia msongo wa mawazo na kukuongezea kinga ya mwili.
Malchiah JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 1,959 Reaction score 20,733 Jun 4, 2021 #1,243,494
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,495 27. Saikolojia inasema: Huogopi kupenda, unachoogopa ni kutokupendwa (afraid of not being loved back).
27. Saikolojia inasema: Huogopi kupenda, unachoogopa ni kutokupendwa (afraid of not being loved back).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,496 28. Ukweli wa mambo: uko karibu zaidi na kufanikisha malengo yako kama utayaweka kuwa yako pekee, yaani kuwa ni siri yako.
28. Ukweli wa mambo: uko karibu zaidi na kufanikisha malengo yako kama utayaweka kuwa yako pekee, yaani kuwa ni siri yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,497 29. Saikolojia inasema: kujifanya mwenye furaha wakati una maumivu ni mfano wa kuonesha ni jinsi gani wewe ni mwanadamu mweye nguvu. (strong person).
29. Saikolojia inasema: kujifanya mwenye furaha wakati una maumivu ni mfano wa kuonesha ni jinsi gani wewe ni mwanadamu mweye nguvu. (strong person).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,498 30. Kabla ya kulala, asilimia 90 ya akili yako huanza kufikiri mambo ambayo ungependa yatokee.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,499 31. Watu wanaotembea kwa hatua za harakaharaka huonekana kuwa wanajiamini na wenye furaha zaidi kuliko wanaotembea taratibu.
31. Watu wanaotembea kwa hatua za harakaharaka huonekana kuwa wanajiamini na wenye furaha zaidi kuliko wanaotembea taratibu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2021 #1,243,500 32. Watu wanaojua utani zaidi wanajua kusoma akili za watu pia