Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ATHARI ZA KULA VITAMINI C KUPITILIZA
Kila kirutibisho kinahitajika ndani ya miili yetu kwa kiwango maalumu. Endapo kirutubisho kitakuwa kingi kupitiliza athari zinaweza kutokea katika afya ya mtu. Miongoni mwa athari za kuwa na vitamini C kupitiliza ni kama zifuatazo:-
Kichefuchefu
Maumivu ya tumbo
Kuharisha
Kufanyika kwa vijiwe ndani ya figo
Kujaa kwa tumbo
 
Freddie Figgers alipewa kompyuta yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka tisa. Ilikuwa ya zamani na haikufanya kazi lakini ilikuwa mwanzo wa mapenzi yake na teknolojia ambayo yalimgeuza kuwa mvumbuzi, mjasiriamali na milionea wa masuala ya mawasiliano - mustakabali ambao wachache wangetabiri baada ya mwanzo wake mgumu maishani.
 
FB_IMG_1623185612752.jpg
 
Walikuwa tayari wamekuza watoto wengi, lakini waliamua kumchukua Freddie akiwa na umri wa siku mbili, na kumchukua kama mtoto wao. Freddie anasema walimpa upendo wote ambao angeweza kutaka - lakini watoto wengine huko Quincy wanaweza kuwa wakatili.
 
"Nilimwona baba yangu akiwasaidia watu kila wakati, akisimama kando ya barabara akiwasaidia wageni, akilisha wasio na makazi," anasema. "Alikuwa mtu mzuri, na kwao kunichukua na kunilea, huyo ndiye mtu ninayetaka kuwa kama yeye."
 
Kulinda mwili dhidi ya maambukizi na mashambulizi:
Tafiti mbalimbali zilizofanya zinaonesha kuwa vitamini C inaweza kusaidia kupunguza nguvu za virusi waletao mafua na homa ya mafua. Baadhi ya tafiti zinadiriki kusema kuwa vitamini hivi kuponyesha mafua yaa kwa haraka, lakini ambalo halina shaka ni kuwa vitamini c vinaweza kupunguza kupata mafua ya mara kwa mara au kufanya mafua yaondoke kwa haraka.
Sawasawa...
 
Back
Top Bottom