Kwanini dunia imekuwa ikimchukulia Albert Einstein(205-225IQ) kama mtu mwenye akili zaidi kuwahi kuishi duniani, mbali na kuwepo watu kama vile Isaac Newton, William Sidis, Max Planck na wengineo? Au ni kitu gani kinachomtofautisha Einstein na wanasayansi wengine[emoji780