Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Porto wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kumsaini kiungo wa kati wa Liverpool na Serbia Marko Grujic baada ya kuwa katika klabu hiyo msimu uliopita kwa mkopo. Porto hata hivyo inakabiliwa na upinzani kutoka klabu za Ujerumani na Italia ambazo pia zinawania saini ya nyota huyo wa miaka 25. (Athletic, subscription required)
 
Tetesi.
Yanga wamefakiniwa kumsainisha Beki kisiki Djuma Shaaban wa TP Mazembe
FB_IMG_1623308329184.jpg
 
Back
Top Bottom