moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Naendelea vizuri kabisa hapa butimba. Huko kwenye mvua mpo poa?Mambo Numby..unaendeleaje hapo shamaliwa?
Law school umeiangalia?iko poa?
😂😂😂😂😂nina ushahidi ujueeeTH usimwamini sana Numby,atakuingiza chaka[emoji2][emoji2]
Hahaha mvua imekata THAh shangazi yangu mkweli kabisa, namie nione hiyo mvua[emoji28]
Aisee[emoji23] sikulijua hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina ushahidi ujueee
Ha ha butimba tena jaman,wasalimie mkuyuni hapoNaendelea vizuri kabisa hapa butimba. Huko kwenye mvua mpo poa?
sijaiangalia nasubiria iishe niivute yote
😂😂😂😂😂zimefikaHa ha butimba tena jaman,wasalimie mkuyuni hapo