myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π€£π€£Chalamila pole sana Mzee wa Comedy...
HEBU MUULIZE MKEO LILE SWALI TENA...
πππ
Ha hahaha.."Fungieni mitandao yote, wapumbavu sana.
Najuta kwa nini sikufungia hii mitandao nilipokuwa madarakani.
Wamenifungia kwa kosa dogo tu, hivi kwani wao hawakosei?"--
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akipongeza serikali ya Nigeria kwa kufungia mtandao wa Twitter na kuweka masharti magumu kwa mitandao mingine kuendesha shughuli zao nchini humo.View attachment 1814621
Dah..Ndevu muhimu ndevu muhimu msinyoe ndevu zenu...π€£π€£π€£π€£π€£