antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kabisa mkuu..Chakula chochote hata kiwe kitamu namna gani bila pilipili tena pilipili kali kama kichaa au mbuzi kinapooza. 😜
Kuna mtu hutia hata kwa mkate!!!
Kabisa mkuu..Chakula chochote hata kiwe kitamu namna gani bila pilipili tena pilipili kali kama kichaa au mbuzi kinapooza. 😜
Dah..
Kumbe zinatakiwa!!!
Kabisa mkuu..
Kuna mtu hutia hata kwa mkate!!!
Dooh!
Kuna moja imesahaulika hapo..
Aisee
[emoji120][emoji120]Salam kwenu wote..
Amin[emoji120]Mungu awabariki wote [emoji120]
AminMungu atupe siku njema na ya amani [emoji120][emoji120]