Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuimarisha Uwezo Wa KuonaMapera yana utajiri mkubwa sana wa Vitamin A au Retinol ambayo ni muhimu sana katika kusaidia kuona vizuri.Hivyo basi kama ilivyo kwa karoti, mapera yanasaidia sana katika kuongeza na kuimarisha uwezo w a mtu kuona.