Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Urojooo ...

67203503.jpg
 
Michuano hii inashirikisha nyota 622 waliothibitishwa, wapo nyota wazoefu kama kina Ronaldo, Paul Pogba, Romelu Lukaku, Robert Lewandowski, Ng'olo Kante na Gareth Bale, lakini wapo pia nyota wakali wengine vijana ambao wameibuka hivi karibuni kama Kylian Mbappe wa Ufaransa, Pedri wa Hispania, Phil Foden wa England na Billy Gilmour wa Scotland, wanaotarajia kung'ara.
 
Pamoja na hao dunia inatarajia kushuhudia nyota wengine vijana wapya wakiibuka kupitia michuano hiyo itakayoshirikisha mataifa 24. Wameanza kuonyesha cheche zao lakini michuano hii huenda ikaweka zaidi kwenye ramani ya soka duniani. BBC inakuletea wachezaji 10 ambao ni wakutazamwa kwa jicho la haja.
 
Back
Top Bottom