Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulaji wa bamia husaidia pia kukabili ugonjwa wa pumu. Huongeza kinga ya mwili na mtu akiwa na kinga ya mwili, hawezi kushambuliwa na maradhi mara kwa mara.Faida nyingine ya ulaji wa bamia ni kupata virutubisho aina ya nyuzinyuzi ambavyo husaidia katika kusaga chakula tumboni.
 
E3r_-J7XoAgku3R.jpg
 
Nina hofu kubwa sana Mkuu kwamba jamaa atapigwa mvua nyingi kwa kesi ya kubambikiwa. Na hii itazidi kuonyesha kwamba mama hana nia ya kweli ya kuwatendea haki Watanzania. Nawahurumia sana wanawe. HAKI SIKU ZOTE HUINUA TAIFA. Kama akiachiwa huru itakuwa ni ushindi mkubwa sana.
Hii ni sababu tunapaswa kusali kwa ajili yake!

#Justice4Mdude
 
Back
Top Bottom