Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii ni sababu tunapaswa kusali kwa ajili yake!Nina hofu kubwa sana Mkuu kwamba jamaa atapigwa mvua nyingi kwa kesi ya kubambikiwa. Na hii itazidi kuonyesha kwamba mama hana nia ya kweli ya kuwatendea haki Watanzania. Nawahurumia sana wanawe. HAKI SIKU ZOTE HUINUA TAIFA. Kama akiachiwa huru itakuwa ni ushindi mkubwa sana.