Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila inasemekana bamia linapoza sana "mitambo ya nyuklia". Sijui kama kuna ukweli katika hili.
 
Mchanganyiko huo pia hutumika kama kinga dhidi ya saratani, matumizi ya juisi ya karoti yenye mchanganyiko wa tangawizi husaidia kuukinga mwili dhidi ya matatizo ya saratani za aina mbalimbali kwani husaidia kuua seli zinazoweza kuchangia matatizo ya saratani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…