Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fahamu faida za karafuu katika mwili wa bindamu

Unashauriwa, Ponda karafuu sita changanya na asali katika kijiko cha mezani kisha gawa mchanganyiko huo katika makundi mawili yanayolingana, ongeza chumvi kidogo katika kila moja pindi unapokuwa na kikohozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…